Mbosso Khan ata hujali we had given up on love,bora nikipenda tena nikiachwa utunge wimbo wimbo wakuniliwaza... bomboclaaat🇰🇪🔥
Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Verse ya Mbosso hatariiiii
Team mbosso kenya gonga likes tukisonga
Kutoka Kenya Nipeni likes to big up this real GOATS Coz they always make it real,legit and lit
Mbosso made this song to be a hit 🔥🔥
First lady from Kenya nipeeni likes zangu
Mboso to the world...He's a top poet Africa has ever experienced
ngoma ni ya d voice but honestly mbosso's greatness just overshadowed the guy....greatest bongo lyricist of his generation
Mbosso ni fundi wa mafundi kwa kutunga habahatishi. Yarabi akujalie maisha marefu🎉❤
WOW!! Fantastic song Much love from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ila Mbosso wee Mbosso!! Tisha San bloodie
Sema mbosso anajua sanaa kibayaa zaidi kwenye collaboration zake shall out kwakee
Mbosso apepeza beramu la lugha kimashairi, shabash kwa kazi kuntu mbosso Wakenya hoyeeeee za mbosso
This Mbosso of a guy can sing for me, and D'Voice did a great job as well! Much love from Uganda ❤
Tusionee wivu kazi ya dogo D voice ni kubwa sana mbona kaimba tu vizuri iv mnaopinga mnataka aimbaje kwa mfano Mi nasema ukweli D voice katisha sana hapa kwenye hii ngoma sitafuti like wala comment ila D voice katisha sana❤🎉
Wale wako hapa baada ya Konde kuinua mkono verse ya Mbosso..waweke likes zao hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nani anangoja part ya mboso kama mimi😅😅 weka like 😂😂
HONGERA SANA BLOOD!! You are born to Win…. Keep the fire burning bro.
hii nyimbo inaonyesha utofauti wa mbosso na wasanii wote wa wasafi, mbosso salute kakakaka
@samuel_muigai-020