Kama unasikiliza huu wombo 2024 naomba like yako
Hizi nyimbo hata sisi vijana wa 2003 zinatufundisha kuheshimu wazazi na shemeji zetu kupenda na kutunza familia zetu mke na watoto asanteni sana wazee wetu kama bado unasikiliza hadi leo 2023 tupia like yako
Kama ww umetazama huo wimbo 2024 tujuane Kwa Like
Tiktok brought me here, 2024 ❤️❤️🔥
Kama wewe bdo unasikiliza huu wimbo Saiv nipe dole 2021
Les Wanyika - Amigo Tabia zako zimeshakupasae Mke na watoto wamekimbia Tulikukanya chunga heshima yako, Mke na watoto wako nyumbani, Ndio hazina ya maisha yako.... Amigo, Amigo Wakati tunakupa ushauri we, Uliona sisi watu fitina, Twaingilia mambo yako ya ndani, Na kwamba tukuache kama ulivyo, Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo Thamani ya mke ni mavazi, kula vizuri kulala vizuri ndio siri ya kudumisha ndoa mtaishi kwa raha amigo watoto wako wapeleke shule, kwa manufaa yao ya baadaye, Elimu ndio zawadi muhimu Kwa watoto wako, Amigo Badala yake mabo yote hayo, kwa mkeo imekuwa ni ndoto Maisha yake ya kubahatisha Na kazi unfanya, Amigo Amechoka mwisho kakimbia umebaki kulaumu wenzio Lawama zako hazina msingi, bembeleza mkeo akurudie! Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo, Heshimu mke na watoto wako, Heshimu baba na mama nyumbani, Na wakwe zako uwape heshima, Shemeji zako pia waheshimu, Tukawa sisi wabaya kwako, Shauri wetu hauna maana, Tukwache kama ulivyo Amigo, Sababu wewe ni bingwa wa maisha Mahari umeshalipa Amigo, Mkeo huna habari naye, Na leo yamekufika mambo, Ubingwa wako na mke amekukimbia Eh! x4
Wanikumbusha zamani nikiwa na marehem mama yangu hapo nilikua naenda shamba asubuhi na radio 1992🇹🇿
If you still listening to Amigo kindly show some love, when days were days😍
Ahsanteni sana George Peter Kinyonga, Wilson Peter Kinyonga, John Ngereza, Issa Juma, 'Prof' Omar na wengineo wengi kwa kuiwakilisha vema Tanzania mkiwa Kenya ktk bendi mbali mbali za Wanyika. Ahsanteni sana ndugu zetu Wakenya kwa kuwaunga mkono na kuishi vema na ndugu zetu hawa wa Tanga na Arusha. East Africa pamoja 🥰😍
Mwenye alisema muziki ni dawa,,,nasema rhumba ni dawa kweli listening in 2019 awesome rhumba wapi likes za rhumba hapa jamani
Kama wewe hii ngoma haipiti wiki au mwez hujaickiliza bac, kwa moyo mkunjufu kabisa "like'
My mom loved this song Rest In peace mama till we meet again She used to tell my brothers .. mkioa heshimuni wake zenu 😭😭😭😭😭😭
Haya happy new year wadau wangu siwajui ila nawapenda sana 🎉mana tunapenda mambo mazuri kama haya kama uko hai 2025 nakutakia maisha mazuri yenye baraka tele
Men teaching other men about the right family values through music. Legendary.
Hadithi fupi ya Mapambazuko ya Machweo❤❤ nimeifunzia wanafunzi wangu 2025.
Born 1991 but this music really give meaning to life.motivational indeed
It’s 2023 still enjoying good music 🎶 and learning ❤
nakubali San mziki wa zamn,old is gold,ni kweli kam umpendae hii ngom like
Am telling u guys nipe kidole kaa uko apa, sipanduki ng'ooo,huu wimbo unanifika liver
@josephatmoracha5755