@lauralkinyaha

His grace is sufficient for ME.  Therefore I will boast all the more gladly about my weaknesses, so that Christ’s power may rest on me

@epopro2652

Hakika ni wakati wangu, asante kwa wimbo mzuri dada. From your first wimbo mpk leo nazidi kukuelewa, jtahidi tu kuutunza wokovu wako utafika mbali.

@godfreyngogo3447

Mung azidi kukuinua.nafurahi na nafarijika sana.watu wanaponywa nafsi kupitia wimbo na unawahimiza kuwa n'a moyo wa shukurani

@bettyprosper8911

Kwl Bwana kakubadilisha i just remember that girl from BSS n now she is here serving God ,dada yng Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidiii ,ukazidi kua ushuhuda mzr kwa vijana wengi , God bless u sister u inspire me sanaa

@jayzeem14

Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake Katika Maisha hata pale tunapopoteza njia Bado yuko nasi ama kwa hakika tunapaswa kuja kwake kwa moyo wa shukurani

@dissankone3425

BWANA azidi kukutunza dear Bella you are really blessed tunakuombea ulindwe na nguvu za MUNGU kwa jina la YESU

@gracethomas683

eeh baba umeiondoa aibu umenibadlilisha umenipa asante....asanteee YESU

@ronynyaga7420

Truly blessed,  where have I been? Just discovered Bella and her songs through Trace Gospel. Powerful stuff. Glory be to God.

@beathampambo5951

Kombo you bless me & when I look at your testimony I consider my self

@betinakingu6564

Dad Bella u blessed me a lot ,wimbo mzur San   niwakat wangu kwel keep on going cct❤️❤️

@warrenhenrick5565

Safiiii Sana ujumbe mzuri sanaa Sauti Nzur production nzima ya nyimbo ipo vzur be blessed all mliohusika

@elizabetheliya1592

Ujumbe mzito sana hongera sana hakika MUNGU mwema akuinue na kupitia wewe wasiomjua wamjue huyu kuwa anasamehe nakubadilisha . Songa mbele usikatishwe tamaa kwa lolote simama imara.

@rakeshhkumarr21

I see were you are going, what a powerfull song, GOD bless you and protect you abundantly.

@MariamNafredy

Thank you jesus ❤for your mercy and grace

@naomifredricks

I saw this song yesterday and I did not get the name of the singer or of the song. Aki sema kuitafuta na almost all the words in the lyrics but finally! I can't believe it has been around for 7 months. I looooove the song and the singer, God's beauty. God bless you so much gal. You are amazing

@alainwalterrwota1868

Thanks God for everything you did for her

@boazylazaro6724

Myoyo yetu yapaswa kuwa na shukrani Kwa mungu, maana tumetolewa wambali had Leo bado tunaitwa majina ,,, jina la  mungu lihimidiwe kweli

@nelibaba

Hongera sana mdogo wangu Bella...nimebarikiwa na wimbo huu.. 🇹🇿

@SarahWaithera

Beautiful song Bella. Lotsa love from Kenya, no. 1 fan all the way up. Please can I be on your next video 🙏🙏😘😘😘🙌🙌

@bahatistanley7545

Waaah mungu akuinue zaidi Bella....ila plz naomba kama naweza kupata mawasiliano yako tuzungumze